Videona Picha: katika Matukio tofauti Hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh: Samia Suluhu Hassani Tarime Mkoani Mara, azungumzia Kiwanda cha Sukari, Kupiga vita rushwa na Madawa ya Kulevya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan akiongea na Wanachi katika Kjiji cha Bisarwi kata ya Manga Wilayani Tarime Mkoani Mara katika Ziara yake |
Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga akimwonesha Makamu wa Rais eneo la kilimo cha Miwa bonde la Mto Mara
Bonde la Mto Mara ambapokunatakiwa kulimwa kilimo cha Miwa.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa kulia kwake ni Makamu wa Rais
Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rorya Samwel Kiboye kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime Mkoani Mara. Rashid Bugomba
Wananchi
Wananchi
Madiwani
Vikundi vya Burudani
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea na wanachi katika Kijiji cha Bsarwi Kata ya Manga |
Mmoja wa wazee Maarufu kutoka Bisarwi akiongea na Wananchi kuhusu Kiwanda cha Sukari
Christopher Gachuma Mjumbe wa NEC Wilaya ya Tarime akiongea na Wananchi.
Patel Gajendra kutoka Uganda ambaye ni Mwekezaji wa kiwanda cha Sukari akingea na Wananchi katika kijiji cha Bisarwi
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa akiongea na Wananchi wa Bisarwi
HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS AKIONGEA NA WANACHI KATIKA KATA YA MANGA WILAYANI TARIME MKOANI MARA.