SIMBA YAMTWAA KIUNGO KIRAKA WA MTIBWA SUGAR, ANACHEZA ZAIDI YA NAMBA NNE TOFAUTI





Simba imemsajili kiungo kiraka wa Mtibwa Sugar, Ally Shomari.

Miaka miwili ndiyo mkataba wake na Simba ambayo imeonekana kupania kuimarisha kikosi chake msimu huu.

Shomari ana uwezo wa kucheza namba mbili, saba, sita kama kiungo mkabaji lakini nane. Pia anaweza kucheza 11 au 10.

Kiungo huyo ni kati ya wale waliofanya vizuri na Mtibwa Sugar msimu uliopita.
Powered by Blogger.