Picha: katika matukio tofauti Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa Mei Mosi asema nitashirikiana vyema na wafanyakazi wa Umma.
Mkuu wa Mkoa akisalimiana na kamati ya ulinzi na Usalama |
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini Vicent Naano . |
Mkuu wa Mkoa akisalimian na Mkuu wa Mkoa wa Bunda Lydia Bupilipili |
Mkuu wa Mkoa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Butiana Annarose Nyamubi |
Mkuu wa mkoa wa Mara akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa |
Mkuu wa Mkoa akiwa na Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurudin Babu ambaye ni Mwenyeji katika maadhimisho hayo wakielekea katika Vibanda vya maonyesho |
Mkuu wa Mkoa akisaini kitabu cha wageni katika banda la TAKUKURU. |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Hamsin akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa katika banda la mmoja wa wajasiriamali. |
Fatuma Shamsi ambaye ni mjasiriamali wa kuzalisha mafuta ya Alizeti akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara baada ya kutembelea banda lake. |
Banda la Serengeti Arts Group likiwa na bidhaa za asili ambazo zinatengenezwa kwa Mikono yao katika maonyesho ya Mei Mosi yaliyofanyika kimkoa Mkoa wa Mara yamefanyika Wilayani Serengeti |

Managing Director Paulina Boma akitoa zawadi ya kofia kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa baada ya kutembelea Banda leke. |
Tayari Mkuu wa Mkoa kavaa kofia baada ya kuzawadiwa na Paulina Boma |
Shukrani Sana |
Mkuu wa Mkoa akiongea na vijana ambao ni wabunifu wa sola |
Dkt Hong-kyuChui akifafanua jambio kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara baada ya kutembelea banda la vijana ambao ni wabunifu wa kutengeneza sola. |
Stella Okanga ambaye ni mmoja wa wanakikundi akitoa zawadi ya Sola ambayo wametengeneza |
Akikagua madawa ya Asili. |
Meneja wa Bank ya NMB Tawi la Mugumu William Bajunana akieleza Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa jinsi gani bank hiyo inavyotoa huduma zake kwa wateja. |
Everlyn Munge Afisa masoko Bank ya CRDB Tawi la Serengeti Mugumu akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara |
Mantesa Lukumsi CRDB Serengeti akitoa huduma kwa Mteja. |
Mkuu wa wilaya ya Tarime kushoto Gloriuos Luoga akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bunda Lydia Bupilipili katika maadhimisho ya Mei Mosi ambapo kimkoa mkoa wa Mara yamefanyia Serengeti -Mugumu. |
Mkuu wa Mkoa wa Mara akitazama Web site ya Halmashauri ya wilaya ya Tarime baada ya kutembelea Banda lao. |
Richard Lucas Afisa TEHAMA Halmashauri ya Wilaya ya Tarime akionesha Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa WebSite ya Halmashauri hiyo |

Mkuu wa Mkoa akisisitiza jambo baada ya kutembelea banda la Halmashauri ya wilaya ya Tarime |
Soma Mabango mbalimbali ambayo yamebeba ujumbe tofauti katika Maadhimisho ya Memosi 2017 Mkoa wa Mara yamefanyika Wilayani Serengeti viwanja vya Sokoine Mjini Mugumu. |

TANESCO |
Mkuu wa Mkoa wa Mara akisalimia |
Wimbo wa wafanyakazi |
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurudin Babu akisalimia katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi |
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorius Luoga akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Musoma Mjini Vicent Naano |
Katibu wa TUCTA Mkoa wa Mara Huzun Masangula akisoma risala kwa Mgeni Rasmi Mkuu wa mkoa wa Mara katika maadhimisho ya MeiMosi |
HOTUBA |
Afisa TEHAMA Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Richard Lucas akitunukiwa cheti na Mkuu wa Mkoa wa Mara kati ya Watumishi kutoka idara mbalimbali waliotunukiwa vyeti hivyo. |
Watumishi wa Umma wakipokea vyeti pamoja na fedha kutoka katika vyama vyao. |