NAHODHA WA TIMU YA SIMBA JONAS MKUDE APATA AJALI MOROGORO
Mkude apata ajali: Gari toyota VX namba
za usajili T 834 BLZwalilokuwa wakisafiria mashabiki wa timu ya Simba
ambalo pia inadaiwa kingo na nahodha wa timu ya Simba, Jonas Mkude
limepata ajali eneo la Dumila Morogoro.
Taarifa za awali majeruhi wamepatiwa huduma ya kwanza na wengine wamepelekwa hospitali Morogoro.
Tutazidi kuwajuza kadiri taarifa zinapotufikia.