KOCHA WA CHELSEA, ANTONIO CONTE AMEWEZA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND MARA TU BAADA YA KUTUA NCHINI HUMO AKITOKEA ITALIA AMBAKO ALIFANYA VIZURI IKAONEKANA KAMA HAKUNA UGUMU SANA. LAKINI AMEONYESHA KWELI ANAWEZA KUFANYA VIZURI KOKOTE KULE.