Alichoongea Mbowe baada ya taarifa za kifo cha Ndesamburo
Mchana wa May 31, 2017 zilisambaa taarifa ambazo zilikuwa zinaeleza kifo cha aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo maarufu kama Ndesapesa…sasa story ni kwamba Mwenyekiti wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe amekutana na Waandishi wa Habari Dodoma ili kutoa uthibitisho huo.
Bonyeza play kumsikiliza