WAZIRI DKT. HARRISON MWAKYEMBE ATEMBELEA TBC NA AZAM MEDIA

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiasini kitabu cha wageni alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwaajili ya kukutana na watendaji wa Shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkururgenzi Mtendaji wa shirika Dkt Ayoub Ryioba. |
![]() |
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza
kushoto) akiangalia jinsi vipindi vya luninga vinavyotengenezwa alipotembelea
Azam Media leo Jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza
kulia) akizungumza na wasikilaji wa Uhai FM
alipofanya ziara Azam Media leo Jijini Dar es Salaam.
|