Picha: katika Matukio Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF Tarime Watoa Mafunzo ya Ujasiriamali kwa wasichana 4o ambao ni wahanga wa Ukeketaji, Mimba za Utotoni na Ndoa za Utotoni.

Picha baadhi ya Wasichana 40 kutoka kata za Bomani, Turwa na Nyamisangura wakipata mafunzo ya kutengeneza, Mikoba, Vipochi kwa kutumia Shanga ili kuweza kujikwamua kiuchumi na Wasichana hao ni Wahanga wa ukatili wa kijinsia ukiwemo Ukeketaji, Ndoa za Utotoni na Mimba za Utotoni.

Kambibi Kamugisha kutoka CDF akieleza yale yatakayoenda kufundishwa



Frida Mwita Kutoka Dar Es Salaam ambaye ni Mkufunzi katika Mafunzo hayo ya Ujasiriamali akifundisha wasichana hao


Wasichana hao wakiendelea na Mafunzo hayo ya kutengeneza Mikoba, Pochi kwa kutumia Shanga











Afisa ulinzi  na usalama wa watoto kutoka shirika la CDF Sophia Temba akielekeza jambo katika mafunzo hayo




Sophia Temba  ambaye ni  Afisa ulinzi  na usalama wa watoto kutoka shirika la CDF kushoto akiwa na Mkufunzi wa mafunzo hayo Frida Mwita wakielekeza jambo

 




Akiongea na CLEO24NEWS Sophia Temba  ambaye ni  Afisa ulinzi  na usalama wa watoto kutoka shirika la CDF.




    Frida Mwita Kutoka Dar Es Salaam ambaye ni Mkufunzi katika Mafunzo     hayo ya Ujasiriamali kwa wasichana akiongea na CLEO24 NEWS


Washiriki wa Mafunzo hayo ambao ni Wasichaka kutoka kata za Bomani, Turwa na Nyamisangura.


Powered by Blogger.