MOJA YA PICHA BOMBA KATIKA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Mechi tatu zimechezwa za Ligi ya
Mabingwa Ulaya, Dortmund wakiwa nyumbani, wamekubali kipigo cha mabao
3-2 kutoka kwa Monaco lakini Atletico Madrid, ikaitandika Leicester kwa
bao 1-0.
Kipigo kingine kilichotembea katika
ardhi ya Ujerumani ni Bayern Munich kufungwa mabao 2-1 na wageni wake
Real Madrid. Lakini picha hii ya Marcelo akiwania mpira na Arjen Robben
ni kati ya zilizovutia hasa.