KOMBE LA SHIRIKISHO, SIMBA VS AZAM, MBAO FC VS YANGA
Droo ya Kombe la Shirikisho imekamilika na sasa Simba na Azam FC zitakutana katika nusu fainali ya kwanza.
Mbao FC watakuwa wenyeji wa Yanga katika nusu fainali ya pili.
Nusu
fainali ya kwanza itakayowakutanisha Simba na Azam FC itachezwa Aprili
29 na ile ya pili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza itachezwa
Aprili 30.