FILAMU YA WALIMWENGU YAZINDULIWA RASMI MKOANI GEITA.
Meneja wa NSSF Mkoani Geita Shabaan Mpendu akizindua na kuonesha Filamu ya Walimwengu iliyochezewa Mkoani Geita ambayo imezinduliwa juzi kwenye ukumbi wa hotel ya Lenny. |
Baadhi ya wageni waalikwa wakifatilia matukio kwa umakini zaidi. |
Moja kati ya wasanii wa nyimbo za RNB Mkoani Geita akitoa burudani wakati wa uzinduzi. |
MC wa shughuli mwanadada Rose Mweko akiwaita wasanii wa Maigizo kwaajili ya burudani. |
Moja kati ya kikundi cha sanaa ya maigizo Mkoani Geita kikitoa burudani ya uchekeshaji . |
Mgeni Rasmi ambaye ni Meneja wa Nssf Mkoani Geita akizindua DVD ya Walimwengu. |
![]() |
Meneja wa NSSF Mkoani Geita Shabaan Mpendu ,akiwasisitiza wasanii kujiunga na umoja wa wasanii ili waweze kutambulika na serikali kwani utawasaidia kupata misaada zaidi. |
Wageni baadhi wakifatilia kwa umakini zaidi. |
Baadhi ya wasanii wakiwa kwenye meza ya pamoja wakifatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasimi. |
Waandishi wa habari wakifatilia matukio yaliyokuwa yanajiri. |
Wasanii wakifurahia na kucheza kwa pamojaa. |
Moja kati ya wasanii wa Maigizo Mkoani Geita,Sagari Mganga akicheza igizo ambalo lilikuwa linapiga vita dhadi ya mfumo dume katika familia. |
Baadhi ya Wasanii walioshiriki katika filamu ya Walimwengu. |
Meneja wa NSSF Mkoani Geita Shabaan Mpendu,akisoma maelezo yaliyokuwepo kwenye check ambapo kwa kudhamini na kutambua mchango wa wasanii alitoa kiasi cha sh,milion 3. |
Meneja wa Leny Hotel akitoa neno kwenye uzinduzi huo. |
Katibu wa chama cha waigizaji jijini Mwanza Edwin Kimbulu akitoa mchango wao kwa niaba ya wasanii wa jiji la Mwanza. |
![]() |
Afisa Mazingira Halmashauri ya Mji wa Geita Pancras Shwekerera akinunua DVD ya Filamu ya Walimwengu. |