MZEE WA MIAKA 78 AJIUNGA DARASA LA KWANZA PICHA KATIKA MATUKIO TEMBELEA CLEONEWS TZ

MKURUGENZI MTENDAJI NA MMILIKI WA CLEO NEWS TZ FRANKIUS CLEOPHACE AKIFANYA MAHOJIANO NA MZEE NYAMHANGA SUGUTA 78 MKAZI WA KIJIJI CHA GETENGA KATA MBOGI WILAYANI TARIME MKOANI MARA BAADA YA KUAMUA KUANZA DARASA LA KWANZA KATIKA SHULE YA MSINGI MAKERERO.
AKIWA DARASANI KATIKA SHULE YA MSINGI MAKERERO






Mzee mmoja aliyefaamika kwa jina la  Nyamhanga Suguta Gesaba 78 mkazi wa kitongoji cha Kibeyo Kijiji cha Getenga  kata ya Mbogi Wilayani Tarime Mkoani Mara ameamua  kujiunga na kuanza darasa la kwanza kwa lengo la kujua kusoma , Kuandika na Kuhesabu ili kuendeleza biashara zake ndogo ndogo za kuuza Ndizi.

Mzee Huyo amesema kuwa hakubahatika kwenda shule kipindi cha ujana wake hivyo alianza mwaka jana kwenda shule ya  na akabahatika kufaulu na hivyo ameamua kujiunga darasa la kwanza ili kutimiza ndoto yake kwani Elimu haina mwisho nimebahatikakufika shuleni hapo
PICHA YA PAMOJA NIKIWA NA MZEE HUYO

MUDA WA KWENDA NYUMBANI WAKIWA PAREDI
MWALIMU WA DARASA MAGRETH ALBINUS AKIFAFANUA MAENDELEO YA MWANAFUNZI HUYO SUGUTA AMBAPO AMESEMA KUWA AMEAFAURU MASOMO MATATU. 
Powered by Blogger.