SERIKALI KUENDELEA KUPAMBANA NA WANAOENDELEZA VITENDO VYA UKEKETAJI.
Mkurugenzi wa Kituo cha Kuifadhi Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Masanga) kilichopo Tarime Vijijini Sister Stella Mgaya akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga alipofika wakati wa mahafali ya wasichana 46 waliokimbia ukeketaji. |
Baadhi ya watoto waliokimbia ukeketaji wakiwa katika maandano kuelekea eneo walilofanyia mahafali. |
Vijana
wakifanya igizo la kupinga Ukeketaji dhidi ya watoto.
|
Mangariba
wastaafu(Kina Mama wa kisasa ) wakila kiapo cha kuacha na kutoendelea
na ukeketaji baada ya kupata mafunzio ya ujasiriamali
|