Home/
Unlabelled
/RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA USALAMA KILICHOPEWA JINA LA MWALIMU JULIUS NYERERE KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRICA (AU) ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA
RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA USALAMA KILICHOPEWA JINA LA MWALIMU JULIUS NYERERE KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRICA (AU) ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na viongozi wa mataifa mabalimbali wakiwa katika
picha ya pamoja katika jengo jipya la kituo cha Amani na Usalama (JULIUS NYERERE) lililopo
katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa nchini Ethiopia
Add caption
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Viongozi Wakuu wa Mataifa
mbalimbali hawapo (pichani) katika Jengo jipya la Kituo cha Amani na Usalama
kilichopewa jina Rasmi la Mwalimu Julius Nyerere, Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta mara baada ya kutangazwa rasmi kwa Jina la Mwalimu Julius Nyerere
katika kituo hicho cha Amani na Usalama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Rwanda Paul
Kagame wakati wakielekea katika Kituo cha Amani na Usalama cha Makao Makuu ya
Umoja wa Afrika kilichopewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius
Nyerere, Addis Abba nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Rwanda Paul
Kagame wakati wakielekea katika Kituo cha Amani na Usalama cha Makao Makuu ya
Umoja wa Afrika kilichopewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius
Nyerere, Addis Abba nchini Ethiopia.