Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala Bi Tabu
Shaibu akizungumza wakati wa mkutano wa waandaishi wa Habari Leo Jijini Dar es
salaam kuhusu umuhimu wa wananchi kulipa kodi ya mabango ili kuchochea maendeleo katika manispaa hiyo.
Kushoto ni Mkuu wa Sehemu ya Usalama barabarani na mabango Manispaa ya Ilala
Bw. James Batinagwa.
|
Afisa Uhusiano wa
Manisapaa ya Ilala Bi Tabu Shaibu akifafanua kwa waandishi wa Habari Leo Jijini
Dar es salaam kuhusu mikakati ya manispaa hiyo katika kuwaletea wananchi
maendeleo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO bi Zamaradi
Kawawa.
|
|
Mkuu wa Sehemu ya
Usalama barabarani na mabango Manispaa ya Ilala Bw. James Batinagwa (kushoto)akisisitiza
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) umuhimu wa kutii sheria bia shuruti
kwa kulipa kodi ya mabango kwa mujibu wa sheria na kanuni.katikati ni Afisa
Uhusiano wa Manispaa hiyo Bi Tabu Shaibu na kulia ni Kulia ni Kaimu Mkurugenzi
Idara ya Habari MAELEZO bi Zamaradi Kawawa.
|
|
Baadhi ya waandishi
wa Habari wakifuatilia mkutano wa manispaa ya Ilala na waandishi wa habari leo
Jijini Dar es salaam ulioenga kueleza mikakati ya Manispaa hiyo katika
kuwaletea wananchi maendeleo.
Picha
na Frank Mvungi |