HALMASHAURI YAPITISHA BILLIONI 40 MWAKA WA FEDHA 2017-2018


Mwenyekiti wa Halmashuri ya Wilaya ya Tarime Moses Misiwa akisisitiza jambo wakati akifunga   kikao cha baraza la madiwani kilichokaa  leo kupitisha rasimu ya mpango na  bajeti ya Halmashuri hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018. Wakwanza kushoto Mbunge wa Tarime vijijini John Heche.



Mkurugenzi Mtendaji wa Halamshauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa  akitoa taarifa ya rasimu ya mpango na  bajeti ya Halmashuri hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018.


Baadhi ya madiwani  wakiwa kwenye kikao hicho


Powered by Blogger.