DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KOICA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)  akisalimiana na Makamo wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea  KOICA Bw.Wooyong Chung   akiwa na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini  Zanzibar jana,(Picha na Ikulu).
Powered by Blogger.