Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki, ametangaza majina ya Makatibu Tawala wa Wilaya 27 na vituo vyao vya kazi walioteuliwa na Rais Dkt.John Magufuli.