ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA ALIPOKUWA ZIARA WILAYANI TARIME MKOANI MARA KWA AJILI YA KUKAGUA MAGHALA YA KUIFADHI CHAKULA
MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA AKIONGEA NA AFISA KILIMO HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME SILVANUS GWIBOHA |
MMOJA WA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA CHAI AKIFAFANUA JAMBO KWA MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA |
MKUU WA MKOA WA MARA AKIWA KATIKA KIWANDA CHA CHAI REBU MJINI TARIME MKOANI MARA |
MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA AKIMUSIKILIZA AFISA KILIMO BAADA YA KUTEMBELEA VITARU VYA MICHE YA CHAI. |
GHALA LA KUIFADHIA CHAKULA KATA YA MATONGO NYAMONGO |
MKUUWA MKOA AKIKAGUA GHALA YA KUIFADHI CHAKUKA KATA YA MATONGO NYAMONGO |
MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKIONGEA NA WANACHI WA MATONGO KUHUSU MIGOGORO WA MIPAKA |
MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA AKIONGEA NA WANACHI WA KATA YA MATONGO BAADA YA KUKAGUA GHALA LA KUIFADHI CHAKULA |
MKUU WA MKOA WA MARA AKIONGEA NA VYOMBO VYA HABARI |