TIGO ILIVYOSHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI DAR ES SALAAM.
|
Sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma katika duka la Makumbusho
Jijini Dar es salaam, ikiwa ni sehemu ya wiki ya huduma kwa wateja.
Na Krantz Mwantepele
|
|
Pichani ni sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma.
|
Wafanyakazi
wa Tigo wakiwa na zawadi kwa ajili ya wateja katika duka la Makumbusho Jijini
Dar es salaam mapema mwishoni wa wiki hii.