ANGALIA PICHA ZA WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWIGULU NCHEMBA ALIPOTEMBELEA MAKAZI YA WATUMISHI WA JESHI LA MAGEREZA WILAYANI TARIME MKOANI MARA BAADA YA KUONGEA NA JESHI LA POLISI.
| MKUU WA GEREZA WILAYANI TARIME MKOANI MARA AKIMWONESHA WAZIRI NCHEMBA MAJENGO YA WATUMISHI WA JESHI LA MAGEREZA. |
| MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO AKIWA KATIKA ZIARA HIYO YA UGAGUZI WA MAJENGO. |
| BAADI YA MAJENGO |
| WAZIRI MWIGULU AKIINGIA NDANI YA NYUMBA KATIKA JESHI LA MAGEREZA |
| WAZIRI NCHEMBA AKISHAURI JMBO KWA MKUU WA GEREZA LA WILAYA YA TARIME. |
| MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKITEATA JAMBO NA WAZIRI NCHEMBA BAADA YA KUTEMBELEA NYUMBA ZA WATUMISHI WA JESHI LA MAGEREZA |
| MWIGULU AKITETA NA WABUNGE JONH HECHE TARIME VIJIJINI NA ESTHER MATIKO TARIME MJINI HII LEO |
| WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWIGULU NCHEMBA HII LEO AKIONGEA NA JESHI LA POLISI KATIKA UKUMBI WA CMG MJINI TARIME. |
| JESHI LA POLISI WAKIMUSIKILIZA WAZIRI NCHEMBA KATIKA UKUMBI WA CMG |
| WAKITOKA KWENYE UKUMBI |