ANGALIA PICHA ZA ZIARA YA WAZIRI WA NISHATI WA MADINI PROFESA MUHONGO HUKO NYAMONGO WILAYANI TARIME MKOANI MARA

Picha ya mbunge wa jimbo la Tarime vijijini John Heche akisisitiza jambo mbele ya Waziri wa Nishati na madini Profesa Muhongo katika ziara ya kutembelea mgodi wa ACACIA huko Nyamongo.
Profesa Muhongo akimuuliza maswali Meneja wa mgodi wa ACACIA North Mara Garychapman katika ziara yake huko Nyamongo.
Pich ya mwanasheria wa mgodi wa ACACIA Abel Yiga akitoa ufafanuzi kwa waziri wa Nishati na madini Profesa Sospiter Muhongo pamoja na wanachi katika ziara yake.


 

Picha ya wananchi wa Nyamongo wilayani Tarime Mkoani Mara wakimusikiliza Waziri wa Nishati na Madini hayupo pichani ni katika Ziara yake ya kuunda kamati kwa lengo la kutatua mgogoro wa Nyamongo.



Picha ya mwanasheria wa mgodi wa ACACIA Abel Yiga akitoa maelezo kwa waziri wa nishati na madini hayupo pichani kuhusu maji yanayosadikiwa kuwa ya sumu yanayotililika kwenye makazi ya watu pamoja na vyanzo vya maji

PICHA YA MMOJA WA KIONGOZI WA KIJIJI AKITOA MAELEZO KWA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MUHONGO KATIKA KATI NI MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKIFUATIWA NA MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIUS LUOGA

PICHA ZOTE NA FRANKIUS CLEOPHACE MKURUGENZI NA MMILIKI WA BLOG HII.





Powered by Blogger.