Picha ya mmilikiwa wa Blog hii Frankius Cleophace Kalugendo akifanya mahojiano Mwenyekiti wa Shirika la ,Maendeleo Tarime SHIMATA Joseph Magabe Kabla ya Mafunzo yanayoendeshwa katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Kwa wadau wakiwemo Walimu na Wazazi kwa lengo la kufanya tathimini katika shule za msingi kwa watoto kuanzia miaka 6 mpaka 14 kama wanajua kusoma na Kuandika Kiswahili, Kingereza na Kufanya Hesabu mafunzo hayo yanatarajia kufanyika Wilaya 159 Tanzania Bara. |