Katika kati ni Prof Mama Amina kutoka Nigeria akicheza mziki baada ya kuwasilisha mada kuu juu ya kutetea mwanaharakati.