Wa kwanza kushoto aliyekuwa mwenyekiti wa Baraza la vijana Bavicha Taifa CHADEMA John Heche na wa mwishoo kulia ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Mara Esther Matiko wakielekea ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Tarime kwa ajili ya John Heche anayewania jimbo la Tarime Vijijini hili kuweza kuchukua fomu ya Serikali. |