Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Mara Esther matiko ambaye ametia nia ya kuwania jimbo la Tarime Mjini akisindikizwa na Wananchi jana.