Kushoto ni mmiliki wa blog hii akifanya mahojiano na Yohana Ibaru mkazi wa Sirari wilayani Tarime Mkoani Mara aliyeshambuliwa na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA alikuwa msimamizi wa kituo cha kuandikisha BVR sirari Foroza maeneo ya KKKT Mpakani mwa nchi ya Tanzania na Kenya. |