Mabinti Tarime waliopata Mimba katika Umri Mdogo wapewa Elimu na Shirika...



Mabinti
40 ambao wamepata ujauzito wakiwa na Miaka 15 kwenda Chini wakipatiwa
Mafunzo katika Ukumbi wa Mroni Mjini Tarime kwa lengo la kuendelea
kutunza familia na  watoto wao katika Malezi bora ambapo Mabinti hao
wametupia lawama baadhi ya wanaume kwa kuwatelekeza baada ya kuwapatia
Ujauzito.
Irene
Assey ambaye ni Mwanasheria wa Shirika la ATFGM Masanga akitoa Somo
katika Semina hiyo likiwemo suala la Makuzi na Malezi bora kwa watoto
licha ya kukumbana na Channgamoto za Maisha


Valerian Mgani ambaye ni Meneja Miradi katika Shirika hilo akifafanua jambo katika Mafunzo hayo ya Siku mbili.


Wasichana
hao wakifanya Igizo lenye ujumbe kwa lengo la kutoa elimu iliyokusudiwa
kwa Washiriki hao wa Mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na shirika la
ATFGM Masanga ambao wanapiga Vita Ukatili chini ya Ufadhili wa TERRE
DES HOMMES NETHERLAND (TDH)
....Tazama Video hapa Chini kupata habari Kamili.....
Powered by Blogger.