Wazazi watakiwa kulea vyema watoto wa kike ili kumaliza masomo yao
Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa Gerald Mwita Martine ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Sign -City Ltd iliyopo jijini Dar es Salaam akiongea na wazazi, Walezi na wanafunzi katika mahafari ya kidato cha Nne Shule ya Sekondari Bomani Halamshauri ya Mji wa Tarime. |
Wazazi na walezi. |
Wanafunzi kidato cha Nne Shule ya Sekondari Bomani. |
Kulia ni Afisa Elimu Sekondari Halmshauri ya mji wa Tarime Saverina Misinde kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi Shule ya Sekondari Bomani Pamela Thobias Raya. |
Aliyekuwa Mgeni rasmi katika mahafari hayo ya kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bomani Garald Mwita Martine ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa na Mkurugenzi wa kampuni ya Sign-City. |
Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Bomani Samson Hagai |
Mkurugenzi wa kampuni ya Mara Online Mugini Jacob akizungumza wakati wa kutoa Mifuko Mitano ya Saruji katika kuunga Mkono Mgeni rasmi kwenye harambe ya ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shuleni hapo ambapo zimepatikana zaidi ya laki saba, Ahadi Mawe tripu 08,Mchanga tripu07 na Mifuko ya saruji 141 na zikatolewa ahadi zaidi ya Shilingi Millioni Moja kulia kwake ni Mgeni rasmi Gerald Mwita Martine. |
Mkurugenzi wa Mara online Mugini Jacob akikabidhi mifuko Mitano ya Saruji kwa Mgeni rasmi na Mwalimu Mkuu shule ya sekondari Bomani. |
Wanafunzi wakikabidhiwa Vyeti na mgeni rasmi. |
TAZAMA VIDEO MGENI RASMI ALIVYOSISITIZA WAZAZI ILI KUOKOA MTOTO WA KIKE KWA LENGO LA KUTIMIZA NDOTO ZAKE.