Gerald atoa vifaa vya michezo Bomani Sekondari vyenye thamani ya shiling...
Mgeni rasmi Gerald Mwita ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa akikabidhi vifaa vya Michezo kwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi shule ya sekondari Bomani Pamela Thobias Raya vyenye zaidi ya shilingi Million Moja katika mahafari ya kidato cha Nne. |
Mwalimu wa Michezo akionyesha baadhi ya vifaa vya Michezo vilivyotolewa. |
Wanafunzi kidato cha Nne shule ya sekondari Bomani. |