Home/
Unlabelled
/ Simba imetinga fainali baada ya kuitwanga Azam FC katika mechi ya Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali jana. Simba ilishinda kwa bao 1-0 katika mechi iliyotawaliwa na mvua kubwa.
Simba imetinga fainali baada ya kuitwanga Azam FC katika mechi ya Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali jana. Simba ilishinda kwa bao 1-0 katika mechi iliyotawaliwa na mvua kubwa.