ILIVYOKUWA MAZISHI YA PROFESA BINAGI WILANI TARIME.
Viongozi
mbalimbali wa dini na serikali kutoka ndani na nje ya nchi, jana
wameungana na ndugu, jamaa na marafiki katika ibada ya mazishi ya
Profesa Lloyd Binagi, iliyofanyika nyumbani kwake Bomani wilayani
Tarime.
Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe.Glorious Luoga, Mchungaji wa Kanisa la SDA Tarime Kati, George Ojuang, mbunge wa jimbo la Misungwi, Mhe.Charles Kitwanga na Mwenyekiti wa Tume ya vyuo Vikuu nchini Kenya, Profesa Chacha Nyaigoti.
Profesa Binagi aliyezaliwa mwaka 1938 alifariki dunia jumatatu April 03,2017 Jijini Dar es salaam ambapo mazishi yalifanyika jana April 09,,2017 yalipo makaburi ya familia Kenyamanyori wilayani Tarime.