Wazee wa Mila koo 13 jamii ya Kabila la wakurya Tarime wakutana pamoja k...
Viongozi ambao ni wazee wa Mila koo13 za jamii kabira ya Wakurya Wilayani Tarime Mkoani Mara wakiwa katika kikao cha pamoja Ukumbi wa MCN Mjini Tarime kwa lengo la kujadili jinsi gani ya kutoa tamko kwa jamii ili kuondokana na Miiko ambayo imekuwa ikikandamiza Mtoto wa Kike na kumnyima uhuru na maamuzi katika jamii inayomzunguka.Mfano wa Miiko hiyo ni kama Mwanamke ambaye hajakeketwa harusiwi kufungua zizi pamoja na kushiriki sherehe pamoja na Miiko Mingine. |
Valerian Mgani Meneja Miradi wa Shirika la ATFGM Masanga akieleza lengo la kukutanisha Wazee hao wa Mila 26 kutoka koo kumi na tatu kwa maana ya viongozi wawiwili kwa kila koo. |
Wazee wakiwa katika kikao cha pamoja. |
,,,,Tazama Video hapa chini kupata habari kamili,,,, |