BASI LA BATCO LATEKETEA KWA MOTO


Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butiama Mkoani Mara gari hilo lilikuwa linafanya safari yake kutoka Tarime-Sirari Mwanza chanzo cha Moto huo bado hakijafaamika na inasemekana baadhi ya mali za abiria zimeweza kuteketea kwa moto na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa na moto katika tukio hilo 

                           HABARI KAMILI TUTAENDELEA KUKUFAAMISHA


                                                  PICHA NA CLEO 24 NEWS


Powered by Blogger.